Baada yakuzijenga headlines nyingi afrika mashariki kupitia kibao chake ''Ndi Trop Top'',Thity Love ameruditena na bonge la track iitwayo ''RUDI'' ndani ya African Touch Sound WK|Soprano Prod|.
Sikiliza na Udownload hapa:Rudi by Thity Love ''La Trop Top''

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top