Msani T Max kutoka kwenye kundi lizima la Wanajeshi Kamili ambae kwasasa anaishi nchini Holand, amechia ngoma yake mpya iitwayo ''Bila wewe''.
Ngoma hii ipo chini ya Mishka Record.
Hii siyakukosa kabisa ,isikilize na upakue hapa: Bila Wewe by T-Max

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top