Baada yakujielekeza nyumbani alipo zaliwa akitokea nchini Kenya Ashley Diva ameachia ngoma yake mpya iitwayo''Siku Mbili''.Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Masterland ndani ya Master Muzik Beat.

Isikilize na udownload hapa :Siku Mbili by Ashley Diva

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top