Mwanamuziki mrundi  Likiliki Francis akijulikana kwajina la Omario Lee mwenyeji wa tarafani Kamenge  mwenye makazi yake nchini Uganda mjini Kampala, ameachia nyimbo yake mpya itwayo Yeye akishirikiana na Micho chini ya mikono ya producer mahiri Lexlogic katika Studio Fresh VyBz ya mjini Kampala.

Omario lee anatarajia kuachia video ya nyimbo yake hii Yeye siku za usoni na tayari mambo imekwisha kamilika kinacho salia nikuachia video hiyo na ameiambia Mishe Mishe kuwa video yake hii itapatikana wiki hii kwenye tovuti ya Africanmishe.

Tuwakumbushe kuwa unaweza kusikiliza kazi mbili  za awali za mwanamuziki Omario Lee, moja inaitwa Who are Love na nyingine ameipa jina la Coca-Cola akishirikiana na Yuda, na nyimbo zake zote zinapatiakana hapa :

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top