New Audio : Sioni by G Bo/download.mp3


Mwanamuziki G Bo kutoka Burundi ameachia track yake mpya itwayo Sioni chini ya mikono ya producer Pichen Pro. Baada ya kufanya vizuri na kupata ajira za hapa na pale kupitia nyimbo zake nyingi, G Bo ameamua kutoka tena na mtindo unayo pendwa na watu wengi.

Ebu isikilize hapa kwa mara yako ya kwanza kazi nzuri kutoka kwa G Bo

Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, wasiliana nasi kupitia namba +257 75707305

Powered by Blogger.