responsive ads

New audio / NIMEKUBARI BY WAZIR WA HEKIMA FT LAVISTA.DOWND.MP4

Msani ajulikanaye kwa jina la Waziri wa Hekima kutoka Burundi   mwenye makazi yake Afrika Kusini ameachia nyimbo yake mpya itwayo Nimekubari akishirikiana na Lavista anaye ishi kwasasa Burundi.
Ushirikiano huu kati ya wasanii hawa wawili imefanikisha kukamilisha nyimbo nzuri ambayo ipo chini ya mikono  ya ma producer mahiri umoja wa Afrika Kusini na Pitchen Revolution wa Burundi.

Tumewasogezeni nyimbo hii nzuri hapa na endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, wasilina nasi +257 75707305
middle 300x250
Powered by Blogger.