Mwimbaji Mayunga ametaja maana halisi ya jina lake,ifahamu hapa

Mwimbaji Mayunga ambaye anatamba na kibao chake cha Please Don’t go away ametaja maana halisi ya jina lake ‘Mayunga’.
Akiongea kwenye kipindi cha Ngazi kwa Ngaz kupitia Eatv,Mayunga amesema jina lake linaamanisha mtu anayependa kutembea.
Jina langu Mayunga lina maana ya mtu tembezi,mtu ambaye anapenda kuyunga yunga yaani kutembea tembea yani hatulii mara yuko hapa mara yuko pale,ingawa bibi yangu alinaimbia hili jina wamekupa tu lakini halikufai wewe ilitakiwa apewe kaka yangu yangu mmoja hivi anaitwa Hatibu“,alifunguka Mayunga.
Powered by Blogger.