Msanii Shilole amesababisha mchanganyiko wa hisia kutoka kwa mashabiki wake wanaomfuata kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kuweka picha yenye utata.

Picha hiyo aliyoipiga akiwa kwenye chumba cha hotelin, inaonesha mapaja yake wazi huku akiwa amefunikwa na taulo katikati ya ikulu yake.
Picha aliyoiweka Shilole kwenye Instagram na kusababisha povu la kutosha Instagram

Hata hivyo kutokana na malalamiko kutoka kwa mashabiki wengi, amelazamika kuifuta picha hiyo.
Powered by Blogger.