Msanii Nuh Mziwanda kaelezea sababu za kuachana na Meneja Petit Man

Ni September  22, 2016 kwenye U HEARD ya Clouds FM, inamuhusu Nuhu Mziwanda ambaye amemlalamikia aliyekuwa Meneja wake, Petit Man, Nuhu Mziwanda amedai kuwa amekuwa akichukua pesa kwa kutumia jina la Mziwanda halafu hazifikishi kwake. Soudy Brown amepiga nao story leo kwenye U Heard huku Nuh akieleza sababu za kuamua kuachana na usimamizi wa Petiman.
>>>kama meneja ambaye anafanya kazi na wewe anashindwa kujua wewe ni mtu gani kwenye jamii huyo ni tatizo, mimi natafuta pesa kwa jina langu sasa yeye asitumie ile kusema mimi ni meneja wa nuh kupata pesa halafu hazifikishi kwangu hiyo ndo sababu mimi nimemkacha:- Nuh Mziwanda
Powered by Blogger.