Msanii Izzo Bizness na Ycee (Nigeria) warekodi wimbo pamoja

Izzo Bizness na Abela Music wanaounda kundi la The Amazing, Jumatano hii waliingia studio kurekodi wimbo pamoja na msanii wa Nigeria, Ycee.
14031712_233138327083912_2012424267_n
Ycee baada ya kurekodi wimbo na The Amazing, Jumatano hii jijini Dar
Watatu hao waliingia studio Jumatano hii jijini Dar es Salaam. Ycee alikuwa Dar kwa siku tatu kwaajili ya media tour na kukutana na wasanii wa Tanzania.
“Done!!!thanks a lot hommie @iam_ycee its been a pleasure working with you #TheAmazing #ontothenextone,” ameandika Izzo kwenye picha akiwa na staa huyo wa Omo Alhaji.
Powered by Blogger.