Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anatarajia kuanzisha redio yake ya mtandaoni (online radio).

13724575_856438874487280_1965556187_n


Taarifa hiyo ilitolewa na Romy Jons, anayedai atakuwa mmoja wa watangazaji wa redio hiyo itakayojulikana kama DSM FM.

Powered by Blogger.