Mchezaji wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba, Yanga SC, Azam FC na Simba za Dar es Salaam, na kiuongo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Fanja ya Oman.Ngassa anajiunga na wawakilishi hao wa Oman kwenye Ligi ya Mabingwa ya Asia, baada kama ya wiki tatu tangu avunje mkataba na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top