A S A S DJIBOUTI TELECOM imefuzu kuingia hatua makundi ya kushiriki Ligi Arabe nchini Qatar

Mabingwa wa ligi kuu ya Djiboutie  A S A S DJIBOUTI TELECOM jana wamekamilisha kufuzu kushiriki kombe la Ligi Arabe itakayo dhuru nchini Qatar, baada ya kutoka sare (1-1) dhidi ya klabu ya Somalia.

Michuano ya Ligi Arabe imeikutanisha timu tatu ambazo ni Volcano, Somalia na A S A S DJIBOUTI TELECOM, mechi ya kwanza Valcano ya Comoro imekwenda sare(0-0) na Somalia, mechi ya pili A S A S DJIBOUTI TELECOM imekwenda sare pia na Valcano ya Comoro, ndipo kwa kutafuta mshindi atakae fuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Ligi Arabe, timu ya Golikipa wa timu ya taifa Intamba Murugamba kutoka Burundi imechuana na timu ya Somalia na kwenda sare ya moja moja uku A S A S DJIBOUTI TELECOM imefuzu kushiriki Ligi Arabe baada ya toleo (Tirage). kwa matakeo hayo timu ya
A S A S DJIBOUTI TELECOM imefuzu kushiriki Ligi Arabe na kuingia hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika historia ya Ligi Arabe.

Tuwakumbushe kuwa timu ya A S A S DJIBOUTI TELECOM inazidi kufanya vizuri baada ya kusajili wachezaji wakiwemo wachezaji wa tatu kutoka Burundi, Moussa Mossi, Luco na golikipa Nzokira Jeff ambao wameiongoza kikosi cha timu hiyo na kuibuka vinara wa kumiliki mchezo baada ya kuumiliki kwa 69% huku Somalia wakiumiliki kwa 31%.


Powered by Blogger.