Video | Drake aelezea alivyoanza kupenda Rihanna toka akiwa na miaka 22.

Rapa wa Young Money Drake amejimwaga mbele ya mastaa kibao kwenye
tuzo za Video za MTV na kusema alianza kumpenda Rihanna toka akiwa na
umri wa miaka 22.


Drake alipewa heshima ya kumkabidhi Rihana tuzo ya Micheal Jackson
Video Vanguard Award na kuelezea jinsi anavyomkubali staa huyu..


The first time I met Robyn Fenty was in 2005, The song
was Pon de Replay and the director of the video was Little X. I was
introduced to her as the kid who played background music at the
restaurant as people ate at their dinner. It’s hard to believe that 11
years later all three of us would come together to create the visual for
a song called Work.Drake akaendelea kusema “Today
the world knows Little X as Director X, they know me as Drake and not
the kid singing as you order pasta. But 11 years later they still all
know Rihanna as the one and only Rihanna.Sasa Drake akajimaliza kabisa kwa kusema  “She’s someone I’ve been in love with since I was 22 years old.


Rihanna na Drake wamekuwa wakitajwa kuwa ni wapenzi kwa zaidi ya miezi miwili sasa.

Powered by Blogger.