Rich Mavoko,Harmonize na Raymond ivi punde watajielekeza nchini Burundi .

Mastaa watatu kutoka kwenye Label ya Wasafi Classic Baby(WCB);Harmonize ,Raymond na Rich Mavoko watapiga show kabambe nchini Burundi.
Kupitia kurasa zake za facebook Diamond Platnumz akiwa ndie kiongozi wa Label hiyo ya WCB amesema :''BURUNDI!! BURUNDI!!! vijana wako pendwa @richmavoko @harmonize_tz @rayvanny watakuwa na wewe Tareh 25 | 09 |2016 hapo Bujumbura.... tafadhali wajuze Wenzio 🙋 for more Bookings sallam.sharaff@gmail.com +255652427989''
https://www.facebook.com/DiamondPlatnumz255/photos/a.445840592104427.96763.204153042939851/1182979695057176/?type=3&theater

Tuvuti yako ya www.africanmishe.com itaendelea kukujuza mengi ya Show hiyo itakayo fanyika nchini Burundi.

Powered by Blogger.