New Audio | Ico ndico by Taylo Sixer (B.M.F Remix) | download.mp3

Mwana hip hop kutoka Burundi, taylo Sixer ameachia nyimbo yake mpya itwayo Ico Ndico. Tayari mwana hip hop huyo anazidi kuwakilisha vizuri sanaa ya muziki katika mtindo wa Hip Hop. tumejaribu kuwasogezeeni nyimbo nzuri Ico Ndico ya kwake Taylo Sixer hapa

Endapo utaitaji kazi zako zipatikane hapa kwenye tovuti yetu unaweza kuwasiliana nasi kwenye namba +257 75707305 ( whatsapp, imo, viber, call.)
Powered by Blogger.