Msani chipukizi Eliezzo da Trigger kutoka Burundi ameachia ngoma yake ya kwanza iitwayo ''You Gamme Nothing''.Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Masterland ndani ya Master Muzik.
Isikilize na udownload hapa:You Gamme Nothing by Eliezzo da Trigger

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top