Image result for linah sanga
Baada ya account yake kudukuliwa na watu wasiojulikana,msanii Linah Sanga amefanikiwa kuirudisha account yake hiyo yenye followers zaidi ya milion moja.
Baada ya kuirudisha account hiyo Linah alipost picha kwenye account yake hiyo ambayo ni @OfficialLinah na kuandika..
Thanks Lord my Account is back ???? poleni mashabiki kwa kunimiss???? tupo pamoja. SHUKRANI zangu ziwaendee #TCRA #JESHILAPOLICE @jubilantofficial @official_kolonzo @kapitatechnology @alexmasiga @risgrin @nguzo_jr @director_ghost @dropouts_ent bila kumsahau my big DADY @babutale ????

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top