Kocha wa Nigeria U -23, Samson Siasia anaacha wadhifa wake

 Baada ya kuridhika na kupata medali ya shaba na Nigeria katika michezo ya Olimpiki Rio 2016, kocha wa Nigeria U-23, Samson Siasia ametangaza uamuzi wake wa kuondoka katika wadhifa wake, kwa sababu halipwi miezi kadhaa.

"sasa inakuwa miezi nyingi sijalipwa na mwaka huu umetimia, nimefanikiwa kejeli na kutokueshimiwa na wakuu na mamlaka za michezo  nchini Nigeria", ameendelea na kusema : "inasikitisha sana baada ya yote tulio fanya nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki,  wachezaji, wakufunzi na kamati nzima ya timu hawajapata kitu hata moja (asante)".

Tuwakumbushe kuwa Samson Siasia sio kocha pekee wa Nigeria kulazimika kuondoka katika wadhifa wake kwa mgogoro huu ambao unaonekana kuwa sugu katika shirika la michezo nchini hapo. 
Mwishoni mwa mwezi Februari, mchezaji mwenzake, Sunday Oliseh ameamua kuondoka kwa tatizo iloilo.
Nigeria ni nchi iliyo endelea tofauti na nchi kama za Afrika mashariki ila inakumbwa na tatizo hili la ubinafsi katika shirika la michezo mpaka ma kocha wameanza kukataa kuongoza timu za taifa.
Powered by Blogger.