Msani kutoka Burundi Gashano David alimaharufu kwa jina la Davidson ameiyambia Africanmishe kwamba ivi karibuni ataachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ''Nukobimeze'' ngoma hii ameshirikiana na msani Franck G80.
Staa huyu mwenye makazi yake nchini Afrika kusini ambae pia ni Director anaekubalika nchini humo amehaidi kwamba video ya Nukobimeze itakua video ya mfano kwenye soko la muziki barani Afrika.
Davidson ameikubalia website yenu www.africanmishe.com kwamba itakua tuvuti ya kwanza kuona video hiyo.
Tazama picha zote za video coming soon hapa:Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top