Baada ya miaka miwili bila lebo, Sean Paul apata mchongo mpya.

Staa wa muziki wa Dance Hall ‘Sean Paul‘ amepata mchongo mpya kwenye lebo kuwa ya muziki duniani.
Mjamaica huyu amepata dili la kurekodi na lebo ya Island Records baada ya kufanya kazi huru bila lebo kwa miaka miwili.
Kabla ya kujiunga na Island, Sean Paul alikuwa chini ya Atlantic Records kwa miaka 10,kwa sasa Paul akifanya album yake mpya na humo amethibitisha uwepo wa msanii Shakira, David Guetta, na Afrojack.
Powered by Blogger.