responsive ads

Ameitwa kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa Intamba Murugamba, Kamwanga Etienne

Mchezaji wa wa timu ya Flambeau de L'est ya Mkoani Ruyigi, Kamwanga Etienne kwa mara yake ya kwanza kuitwa katika timu ya taifa Intamba Murugamba mwaka huu 2016 anazidi kuonesha kiwangu kizuri kwenye mazoezi.
Katika arakati ya kumalizia mechi ya kuwania kufuzu kombe la Can2017,  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Burundi, Olivier tayari ameitisha wachezaji watakao wakilisha Burundi nchini Niger na kati ya wachezaji walio itwa kijana mdogo Kamwanga Etienne ameitwa na itakuwa fursa kubwa kupima vijana wapya watakao leta mchango mkubwa kwenye timu ya taifa.

Etienne anauzoefu wakucheza kama alfubeki upande wote kwasababu anatumia miguu yote, na anaonekana kuwa na hamu ya kucheza ili kuonesha kiwango chake katika timu ya taifa na hii ndio ndoto ya kila mchezaji  pindi anapo pata nafasi ya kukamilisha ndoto zake.
middle 300x250
Powered by Blogger.